close
Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Karaman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
BERJAYA Mkoa wa Karaman
Maeneo ya Mkoa wa Karaman nchini Uturuki
BERJAYA
Maelezo
Kanda:Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo:9,163 (km²)
Idadi ya Wakazi252,377 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni:70
Kodi ya eneo:0338
Tovuti ya Gavanahttp://www.karaman.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewaturkeyforecast.com/weather/karaman

Karaman ni jina la mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 9,163. Mji una wakazi wapatao 252,377 (makisio 2006). Kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000, wakazi wa hapa walikuwa kiasi cha 243,210. Mji mkuu wa mkoa huu ni Karaman.

Wilaya za mkoani hapa

[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Karaman umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):

BERJAYA Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Karaman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.