close
Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Estuaire

Estuaire Province
Estuaire Province

Estuaire ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mkoa una eneo la kilomita za mraba zipatazo 20,740. Mji mkuu wa mkoa huu ni Libreville, ambao pia ndio mji mkuu wa nchi. Mkoa umepewa jina hili kwa ajili ya mdomo wa Mto Gabon, ambao ndio moyo wa mkoa huu.

Ukingo wa magharibi mwa Estuaire ni pwani ya Ghuba ya Guinea. Kwa upande wa kaskazini, Estuaire imepakana na Jamhuri ya Guinea ya Ikweta: Mkoa wa Litoral kwa upande wa kaskazini-magharibi, na Mkoa wa Centro Sur kwa upande wa kaskazini-mashariki. Kwa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:

BERJAYA
Wilaya za Estuaire

Estuaire imegawanyika katika wilaya 5:

0°23′40″N 9°25′45″E / 0.39444°N 9.42917°E / 0.39444; 9.42917