Serapioni wa Algiers
Mandhari

Serapioni Scott, O. de M. (1179 – 14 Novemba 1240) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Uingereza[1][2][3] au Uskoti[4] ambaye alikwenda Algeria kukomboa Wakristo watumwa na kuhubiri imani akauawa kwa kusulubiwa na kukatwa vipandevipande, wa kwanza katika shirika lake[5].
Papa Benedikto XIII alimtangaza mfiadini na kukubali shirika limheshimu (14 Aprili 1728).[2] Halafu Papa Benedikto XIV alimuingiza katika orodha ya watakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Monks of Ramsgate. “Serapion”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 20 November 2016. Web.
- 1 2 Butler, Alban. “Saint Serapion, Martyr in England”. Lives of the Fathers, Martyrs, and Principal Saints, 1866. CatholicSaints.Info. 30 January 2013. Web.
- ↑ Stanton, Richard. A Menology of England and Wales, Burns & Oates, 1887, p. 539
- ↑ O'Loughlin. Thomas. "Martyrs", Encyclopedia of Monasticism, (William M. Johnston, ed.), Routledge, 2013, ISBN 9781136787164 p. 832
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/91294
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://catholicsaints.info/saint-serapion-of-algiers/
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kinorwei) Den hellige Serapion av Alger (1179-1240)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
